# Gibea Hili ni jina la kilima kaskazini mwa Yerusalemu. # chini ya mti wa mkomamanga Ni mti ambao matunda yake yana ganda gumu, la duara jekundu na lenye mbegu nyingi kwa ajili ya kula. # ulio katika Migroni Migroni ni eneo lililopo Kaskazini mwa Yerusalemu. # watu mia sita walikuwa pamoja naye "watu 600 walikuwa pamoja naye" # mwana wa Ahitubu (nduguye Ikabodi) "Ahitubu" n"a Ikabodi" ni majina ya wanaume. # Finehasi mwana wa Eli Finehasi alikwa mmoja wa makuhani.