sw_tn/1sa/12/19.md

387 B

Ili tusife

Adhabu ya dhambi ni kifo. Taifa la Israeli liliona Bwana akiharibu mataifa yaliyowanyanyasa. Walikuwa na wasiwasi kuwa wataharibiwa kama mataifa mengine.

Msiogope

Watu walifanya maovu na waliogopa kuwa Mungu atawaharibu. "Msiogope kuwa Mungu atakasirika na kuwaharibu kwa sababu ya dhambi hii"

msigeuke na kufuata mambo matupu

"msikimbilie kuabudu miungu ya uongo"