# Ili tusife Adhabu ya dhambi ni kifo. Taifa la Israeli liliona Bwana akiharibu mataifa yaliyowanyanyasa. Walikuwa na wasiwasi kuwa wataharibiwa kama mataifa mengine. # Msiogope Watu walifanya maovu na waliogopa kuwa Mungu atawaharibu. "Msiogope kuwa Mungu atakasirika na kuwaharibu kwa sababu ya dhambi hii" # msigeuke na kufuata mambo matupu "msikimbilie kuabudu miungu ya uongo"