sw_tn/1sa/11/06.md

599 B

Roho ya Mungu ikamjia kwa nguvu

Roho ya Bwana ikamchochea Sauli. Ikamfanya Sauli asababishe watu wamuogope kwa kumuheshimu kama mfalme wao na kujiunga na jeshi lake.

asiyejitokeza akimfuata

Sauli aliwaita watu wote wa Israeli waende kupigana dhidi ya Nahashi na Waamoni.

Na hofu ya Bwana ikawaingia watu

Bwana akasababisha watu wamuogope na kumuheshimu Sauli kama mfalme wao.

Beseki

Hili ni jina la mji ulikokuwa karibu na Yabeshi Gileadi.

watu wa Israeli walikuwa mia tatu elfu, na watu wa Yuda elfu thelathini.

"Watu wa Israeli walikuwa 300,000 na watu wa yuda walikuwa 30,000"