sw_tn/1sa/11/06.md

20 lines
599 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Roho ya Mungu ikamjia kwa nguvu
Roho ya Bwana ikamchochea Sauli. Ikamfanya Sauli asababishe watu wamuogope kwa kumuheshimu kama mfalme wao na kujiunga na jeshi lake.
# asiyejitokeza akimfuata
Sauli aliwaita watu wote wa Israeli waende kupigana dhidi ya Nahashi na Waamoni.
# Na hofu ya Bwana ikawaingia watu
Bwana akasababisha watu wamuogope na kumuheshimu Sauli kama mfalme wao.
# Beseki
Hili ni jina la mji ulikokuwa karibu na Yabeshi Gileadi.
# watu wa Israeli walikuwa mia tatu elfu, na watu wa Yuda elfu thelathini.
"Watu wa Israeli walikuwa 300,000 na watu wa yuda walikuwa 30,000"