# Roho ya Mungu ikamjia kwa nguvu Roho ya Bwana ikamchochea Sauli. Ikamfanya Sauli asababishe watu wamuogope kwa kumuheshimu kama mfalme wao na kujiunga na jeshi lake. # asiyejitokeza akimfuata Sauli aliwaita watu wote wa Israeli waende kupigana dhidi ya Nahashi na Waamoni. # Na hofu ya Bwana ikawaingia watu Bwana akasababisha watu wamuogope na kumuheshimu Sauli kama mfalme wao. # Beseki Hili ni jina la mji ulikokuwa karibu na Yabeshi Gileadi. # watu wa Israeli walikuwa mia tatu elfu, na watu wa Yuda elfu thelathini. "Watu wa Israeli walikuwa 300,000 na watu wa yuda walikuwa 30,000"