sw_tn/1sa/07/12.md

8 lines
217 B
Markdown

# Akachukua jiwe na kulisimamisha
Waisraeli na watu wengine wa nchi ile waliweka jiwe kubwa mahali ambapo matukio ya muhimu yalitokea kama kumbukumbu ya msaada wa Mungu.
# Mispa ... Sheni
Haya ni majina ya mahali.