# Akachukua jiwe na kulisimamisha Waisraeli na watu wengine wa nchi ile waliweka jiwe kubwa mahali ambapo matukio ya muhimu yalitokea kama kumbukumbu ya msaada wa Mungu. # Mispa ... Sheni Haya ni majina ya mahali.