sw_tn/1sa/07/12.md

217 B

Akachukua jiwe na kulisimamisha

Waisraeli na watu wengine wa nchi ile waliweka jiwe kubwa mahali ambapo matukio ya muhimu yalitokea kama kumbukumbu ya msaada wa Mungu.

Mispa ... Sheni

Haya ni majina ya mahali.