sw_tn/1sa/06/03.md

28 lines
629 B
Markdown

# Mungu wa Israeli
Yaweza kuwa na maana ya 1) walikuwa wakizungumza juu ya jina kamili la Mungu wa Israeli au 2) waliamini kuwa Israeli waliabudu moja kati ya miungu mingi.
# kwa namna yoyote ile mpelekeeni sadakaa ya hatia
Maneno "kwa namna yoyote ile" ni namna ya kuelezea jamno. "Lazima mpeleke sadaka ya hatia"
# Mtapona
"hamtaumwa tena"
# Ninyi
Ni wingi inayomaanisha Wafilisti wote.
# kwa nini mkono wake hadi sasa haujaondoka juu yenu
"Mkono" imetumika kuwakilisha nguvu za Mungu za kuadabisha. "kwa nini hajayaondoa mateso yenu"
# Majipu
Huu ni ugonjwa wa ngozi.
# Panya
Hapa anaelezea panya zaidi ya mmoja.