sw_tn/1sa/06/03.md

629 B

Mungu wa Israeli

Yaweza kuwa na maana ya 1) walikuwa wakizungumza juu ya jina kamili la Mungu wa Israeli au 2) waliamini kuwa Israeli waliabudu moja kati ya miungu mingi.

kwa namna yoyote ile mpelekeeni sadakaa ya hatia

Maneno "kwa namna yoyote ile" ni namna ya kuelezea jamno. "Lazima mpeleke sadaka ya hatia"

Mtapona

"hamtaumwa tena"

Ninyi

Ni wingi inayomaanisha Wafilisti wote.

kwa nini mkono wake hadi sasa haujaondoka juu yenu

"Mkono" imetumika kuwakilisha nguvu za Mungu za kuadabisha. "kwa nini hajayaondoa mateso yenu"

Majipu

Huu ni ugonjwa wa ngozi.

Panya

Hapa anaelezea panya zaidi ya mmoja.