sw_tn/1sa/02/29.md

28 lines
711 B
Markdown

# Kwanini basi, unaidharau dhabihu yangu ... ninapoishi?
"Hampaswi kudharau dhabihu yangu ... mahali ninapoishi."
# Mahali ninapoishi
"Mahali ambapo watu wangu huniletea dhabihu"
# kujinenepesha ninyi wenyewe kwa uzuri wa kila sadaka
Sehemu nzuri ya sadaka ilitakiwa kuchomwa kama sadaka kwa Bwana lakini makuhali walikuwa wanakula.
# Nyumba ya baba yako
"Nyumba" inamaanisha watu wanaokaa ndani ya nyumba. "Famila ya baba zako"
# yawapasa kwenda mbele zangu
"Kuishi kwa kunitii mimi"
# Mambo haya yapishe mbali nami nisifanye hivi
"Sitaruhusu familia yako wanitumikie daima"
# wanaonidharau mimi hawatakuwa na thamani.
"Hawatakuwa na thamani hao wanaonidharau" au "Nitawadharau hao wanaonidharau"