sw_tn/1sa/02/29.md

711 B

Kwanini basi, unaidharau dhabihu yangu ... ninapoishi?

"Hampaswi kudharau dhabihu yangu ... mahali ninapoishi."

Mahali ninapoishi

"Mahali ambapo watu wangu huniletea dhabihu"

kujinenepesha ninyi wenyewe kwa uzuri wa kila sadaka

Sehemu nzuri ya sadaka ilitakiwa kuchomwa kama sadaka kwa Bwana lakini makuhali walikuwa wanakula.

Nyumba ya baba yako

"Nyumba" inamaanisha watu wanaokaa ndani ya nyumba. "Famila ya baba zako"

yawapasa kwenda mbele zangu

"Kuishi kwa kunitii mimi"

Mambo haya yapishe mbali nami nisifanye hivi

"Sitaruhusu familia yako wanitumikie daima"

wanaonidharau mimi hawatakuwa na thamani.

"Hawatakuwa na thamani hao wanaonidharau" au "Nitawadharau hao wanaonidharau"