sw_tn/1sa/02/27.md

613 B

Mtu wa Mungu

Mara nyingi humaanisha nabii wa Bwana. "Mtu anayesikia na kusema maneno toka kwa Mungu"

Je, sikujifunua mwenyewe ... nyumba?

Swali hili linaweza kutafsiriwa kama sentensi "Mnapaswa kujua kuwa nilijifunua mwenyewe ... nyumba."

nyumba ya baba zako

"Nyumba" inamaanisha watu wanaokaa ndani ya nyumba. "Famila ya baba zako"

Baba yako

Haruni

apande madhabahuni kwangu, na kufukiza uvumba

Hii inamaana ya kutoa sadaka kwa Bwana.

kuvaa kanzu ya naivera mbele yangu

Maneno "kuvaa kanzu ya naivera" inaonesha kazi ya makuhani wanaovaa naivera. "Kufanya niliyowaamuru makuhani wafanye"