sw_tn/1sa/02/27.md

24 lines
613 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtu wa Mungu
Mara nyingi humaanisha nabii wa Bwana. "Mtu anayesikia na kusema maneno toka kwa Mungu"
# Je, sikujifunua mwenyewe ... nyumba?
Swali hili linaweza kutafsiriwa kama sentensi "Mnapaswa kujua kuwa nilijifunua mwenyewe ... nyumba."
# nyumba ya baba zako
"Nyumba" inamaanisha watu wanaokaa ndani ya nyumba. "Famila ya baba zako"
# Baba yako
Haruni
# apande madhabahuni kwangu, na kufukiza uvumba
Hii inamaana ya kutoa sadaka kwa Bwana.
# kuvaa kanzu ya naivera mbele yangu
Maneno "kuvaa kanzu ya naivera" inaonesha kazi ya makuhani wanaovaa naivera. "Kufanya niliyowaamuru makuhani wafanye"