# Mtu wa Mungu Mara nyingi humaanisha nabii wa Bwana. "Mtu anayesikia na kusema maneno toka kwa Mungu" # Je, sikujifunua mwenyewe ... nyumba? Swali hili linaweza kutafsiriwa kama sentensi "Mnapaswa kujua kuwa nilijifunua mwenyewe ... nyumba." # nyumba ya baba zako "Nyumba" inamaanisha watu wanaokaa ndani ya nyumba. "Famila ya baba zako" # Baba yako Haruni # apande madhabahuni kwangu, na kufukiza uvumba Hii inamaana ya kutoa sadaka kwa Bwana. # kuvaa kanzu ya naivera mbele yangu Maneno "kuvaa kanzu ya naivera" inaonesha kazi ya makuhani wanaovaa naivera. "Kufanya niliyowaamuru makuhani wafanye"