sw_tn/1sa/02/15.md

583 B

Taarifa ya jumla:

Watu walipokuwa wakitoa dhabihu za wanyama, walichoma mafuta ya mnyama kwanza kisha walichemsha nyama na kula.

mbaya, kabla

"Walifanya jambo bata zaidi kuliko hapo mwanzo."

Walichoma

"Mtu aliyetoa dhabihu alichukua dhabihu yake akaipeleka kwa kuhani kisha kuhani akaichoma"

Nipe nyama ya kuchoma kwa ajili ya kuhani

"Nipe mimi nyama ili nikampe kuhani aichome"

Kuchoma

Kupika juu ya moto

Kuchemsha

Kupika ndani ya maji

Mbichi

Haijapikwa

waliidharau dhabihu ya BWANA

Vijana hawakupenda maelekezo ya Bwana kuhusu dhabihu na hawakujali.