# Taarifa ya jumla: Watu walipokuwa wakitoa dhabihu za wanyama, walichoma mafuta ya mnyama kwanza kisha walichemsha nyama na kula. # mbaya, kabla "Walifanya jambo bata zaidi kuliko hapo mwanzo." # Walichoma "Mtu aliyetoa dhabihu alichukua dhabihu yake akaipeleka kwa kuhani kisha kuhani akaichoma" # Nipe nyama ya kuchoma kwa ajili ya kuhani "Nipe mimi nyama ili nikampe kuhani aichome" # Kuchoma Kupika juu ya moto # Kuchemsha Kupika ndani ya maji # Mbichi Haijapikwa # waliidharau dhabihu ya BWANA Vijana hawakupenda maelekezo ya Bwana kuhusu dhabihu na hawakujali.