forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
583 B
Markdown
32 lines
583 B
Markdown
|
# Taarifa ya jumla:
|
||
|
|
||
|
Watu walipokuwa wakitoa dhabihu za wanyama, walichoma mafuta ya mnyama kwanza kisha walichemsha nyama na kula.
|
||
|
|
||
|
# mbaya, kabla
|
||
|
|
||
|
"Walifanya jambo bata zaidi kuliko hapo mwanzo."
|
||
|
|
||
|
# Walichoma
|
||
|
|
||
|
"Mtu aliyetoa dhabihu alichukua dhabihu yake akaipeleka kwa kuhani kisha kuhani akaichoma"
|
||
|
|
||
|
# Nipe nyama ya kuchoma kwa ajili ya kuhani
|
||
|
|
||
|
"Nipe mimi nyama ili nikampe kuhani aichome"
|
||
|
|
||
|
# Kuchoma
|
||
|
|
||
|
Kupika juu ya moto
|
||
|
|
||
|
# Kuchemsha
|
||
|
|
||
|
Kupika ndani ya maji
|
||
|
|
||
|
# Mbichi
|
||
|
|
||
|
Haijapikwa
|
||
|
|
||
|
# waliidharau dhabihu ya BWANA
|
||
|
|
||
|
Vijana hawakupenda maelekezo ya Bwana kuhusu dhabihu na hawakujali.
|