sw_tn/1pe/05/05.md

392 B

Ninyi nyote

Hii inahusu waumini wote, sio tu wanaume wadogo.

jifunge kwa unyenyekevu

"wanapaswa kutenda kwa unyenyekevu kwa kila mmoja." (UDB)

chini ya mkono wa nguvu wa Mungu

"chini ya nguvu za Mungu"

Kutoa wasiwasi wako wote juu yake

"Mwamini kwa kila kitu kinachokupa wasiwasi wewe" au "Muache yeye ashughulikie mambo yote yanayo kusumbua"

anakujali

"anahusika na wewe"