# Ninyi nyote Hii inahusu waumini wote, sio tu wanaume wadogo. # jifunge kwa unyenyekevu "wanapaswa kutenda kwa unyenyekevu kwa kila mmoja." (UDB) # chini ya mkono wa nguvu wa Mungu "chini ya nguvu za Mungu" # Kutoa wasiwasi wako wote juu yake "Mwamini kwa kila kitu kinachokupa wasiwasi wewe" au "Muache yeye ashughulikie mambo yote yanayo kusumbua" # anakujali "anahusika na wewe"