sw_tn/1pe/05/05.md

20 lines
392 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ninyi nyote
Hii inahusu waumini wote, sio tu wanaume wadogo.
# jifunge kwa unyenyekevu
"wanapaswa kutenda kwa unyenyekevu kwa kila mmoja." (UDB)
# chini ya mkono wa nguvu wa Mungu
"chini ya nguvu za Mungu"
# Kutoa wasiwasi wako wote juu yake
"Mwamini kwa kila kitu kinachokupa wasiwasi wewe" au "Muache yeye ashughulikie mambo yote yanayo kusumbua"
# anakujali
"anahusika na wewe"