sw_tn/1pe/03/13.md

353 B

Ni nani atakayekudhuru, ikiwa unataka mema?

Neno "wewe" linamaanisha waamini. AT "Hakuna mtu atakayekudhuru ikiwa unafanya mambo mema."

Usiogope kile wanachokiogopa. Msifadhaike.

Maneno haya mawili yanategemeana maana sawa na kusisitiza kwamba waumini hawapaswi kuwaogopa wale wanaowadhulumu. AT "Usiogope kile ambacho watu wanaweza kukufanyia."