# Ni nani atakayekudhuru, ikiwa unataka mema? Neno "wewe" linamaanisha waamini. AT "Hakuna mtu atakayekudhuru ikiwa unafanya mambo mema." # Usiogope kile wanachokiogopa. Msifadhaike. Maneno haya mawili yanategemeana maana sawa na kusisitiza kwamba waumini hawapaswi kuwaogopa wale wanaowadhulumu. AT "Usiogope kile ambacho watu wanaweza kukufanyia."