sw_tn/1pe/03/10.md

479 B

Yule anayetaka kupenda maisha

Petro anasema nini mtunzi aliandika katika Maandiko zamani.

Anapaswa kuacha ulimi wake kwa uovu na midomo yake isiseme uongo

"acha uongo na kusema mambo maovu"

Nae aondoke mbali na yaliyo mabaya

"Nae aache kufanya mabaya"

Macho ya Bwana huwaona wenye haki

"Bwana anaona wenye haki" au "Bwana huwalinzi na huwajali wenye haki"

na masikio yake yanasikia maombi yao

"na anasikia sala zao"

uso wa Bwana ni kinyume

"Bwana hupinga"