sw_tn/1pe/03/10.md

24 lines
479 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Yule anayetaka kupenda maisha
Petro anasema nini mtunzi aliandika katika Maandiko zamani.
# Anapaswa kuacha ulimi wake kwa uovu na midomo yake isiseme uongo
"acha uongo na kusema mambo maovu"
# Nae aondoke mbali na yaliyo mabaya
"Nae aache kufanya mabaya"
# Macho ya Bwana huwaona wenye haki
"Bwana anaona wenye haki" au "Bwana huwalinzi na huwajali wenye haki"
# na masikio yake yanasikia maombi yao
"na anasikia sala zao"
# uso wa Bwana ni kinyume
"Bwana hupinga"