# Yule anayetaka kupenda maisha Petro anasema nini mtunzi aliandika katika Maandiko zamani. # Anapaswa kuacha ulimi wake kwa uovu na midomo yake isiseme uongo "acha uongo na kusema mambo maovu" # Nae aondoke mbali na yaliyo mabaya "Nae aache kufanya mabaya" # Macho ya Bwana huwaona wenye haki "Bwana anaona wenye haki" au "Bwana huwalinzi na huwajali wenye haki" # na masikio yake yanasikia maombi yao "na anasikia sala zao" # uso wa Bwana ni kinyume "Bwana hupinga"