sw_tn/1pe/02/06.md

504 B

Andiko linasema hii

"Hivi ndivyo nabii alivyoandika katika Maandiko zamani"

Tazama

"Ninawaambieni kitu muhimu" au "Sikiliza!' Neno 'tazama' hapa linatuchochea kuzingatia maelezo ya ajabu ambayo ifuatavyo. Lugha yako inaweza kuwa na njia ya kufanya hivyo.

jiwe la kona, mkuu na aliyechaguliwa na thamani

Maneno "mkuu" na "thamani" yanaelezea thamani ya "jiwe la msingi." AT "jiwe muhimu zaidi la kona, ambalo nimechagua."

jiwe la kona

Nabii alikuwa akiandika juu ya Masihi, ambaye ni Yesu.