# Andiko linasema hii "Hivi ndivyo nabii alivyoandika katika Maandiko zamani" # Tazama "Ninawaambieni kitu muhimu" au "Sikiliza!' Neno 'tazama' hapa linatuchochea kuzingatia maelezo ya ajabu ambayo ifuatavyo. Lugha yako inaweza kuwa na njia ya kufanya hivyo. # jiwe la kona, mkuu na aliyechaguliwa na thamani Maneno "mkuu" na "thamani" yanaelezea thamani ya "jiwe la msingi." AT "jiwe muhimu zaidi la kona, ambalo nimechagua." # jiwe la kona Nabii alikuwa akiandika juu ya Masihi, ambaye ni Yesu.