sw_tn/1pe/01/22.md

568 B

upendo wa ndugu

Huu ni upendo wa kibinadamu kati ya marafiki au jamaa.

Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa dhati kutoka moyoni

Pendaneni nyinyi kwa nyinyi kwa undani na kwa dhati

Umezaliwa tena ... kutoka mbegu isiyoharibika

Petro ni sawa na uzao wao wa kiroho kwa mbegu ambayo haitakufa kamwe. Wao wataishi kwa milele.

kuharibika

"sio kuharibika" au "kudumu"

kupitia maisha ...neno la Mungu

Neno lililo hai la Mungu linamaanisha neno la Mungu uwezo wa kubadili maisha ya watu wakati wote kama kama mtu halisi anayehubiri na kufundisha watu kuhusu Mungu.