sw_tn/1pe/01/22.md

20 lines
568 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# upendo wa ndugu
Huu ni upendo wa kibinadamu kati ya marafiki au jamaa.
# Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa dhati kutoka moyoni
Pendaneni nyinyi kwa nyinyi kwa undani na kwa dhati
# Umezaliwa tena ... kutoka mbegu isiyoharibika
Petro ni sawa na uzao wao wa kiroho kwa mbegu ambayo haitakufa kamwe. Wao wataishi kwa milele.
# kuharibika
"sio kuharibika" au "kudumu"
# kupitia maisha ...neno la Mungu
Neno lililo hai la Mungu linamaanisha neno la Mungu uwezo wa kubadili maisha ya watu wakati wote kama kama mtu halisi anayehubiri na kufundisha watu kuhusu Mungu.