sw_tn/1pe/01/18.md

12 lines
302 B
Markdown

# umekombolewa kutoka
"Mungu amekukomboa kutoka" au "Mungu amekuokoa kutoka.?
# kama wa kondoo
Yesu alikufa kama dhabihu ili Mungu atasamehe dhambi za watu.
# bila ya ukamilifu na bila doa
Petro anaonyesha wazo sawa katika njia mbili tofauti za kusisitiza usafi wa Kristo. AT "bila kutokamilika."