# umekombolewa kutoka "Mungu amekukomboa kutoka" au "Mungu amekuokoa kutoka.? # kama wa kondoo Yesu alikufa kama dhabihu ili Mungu atasamehe dhambi za watu. # bila ya ukamilifu na bila doa Petro anaonyesha wazo sawa katika njia mbili tofauti za kusisitiza usafi wa Kristo. AT "bila kutokamilika."