sw_tn/1pe/01/18.md

302 B

umekombolewa kutoka

"Mungu amekukomboa kutoka" au "Mungu amekuokoa kutoka.?

kama wa kondoo

Yesu alikufa kama dhabihu ili Mungu atasamehe dhambi za watu.

bila ya ukamilifu na bila doa

Petro anaonyesha wazo sawa katika njia mbili tofauti za kusisitiza usafi wa Kristo. AT "bila kutokamilika."