sw_tn/1pe/01/03.md

24 lines
526 B
Markdown

# Bwana wetu Yesu Kristo
Maneno "yetu" na "sisi" yanataja msemaji (Petro) na waumini waliotajwa
# Alitupa kuzaliwa upya
Mwandishi anazungumzia kuhusu kuzaliwa kwa kiroho tuliyopewa tu na Yesu. AT "ametufanya tuishi tena."
# kwa ujasiri wa urithi
"tunajua kwamba atatufanyia yale aliyoahidi" (UDB)
# zimehifadhiwa
"kuokolewa kwa ajili yetu" au "kuhifadhiwa kwa ajili kwetu" (UDB)
# haitakuwa na madhara
"hawezi kuumiza na dhambi au 'dhambi haiwezi kuumiza"
# katika nyakati za mwisho
"wakati Kristo anarudi duniani"