# Bwana wetu Yesu Kristo Maneno "yetu" na "sisi" yanataja msemaji (Petro) na waumini waliotajwa # Alitupa kuzaliwa upya Mwandishi anazungumzia kuhusu kuzaliwa kwa kiroho tuliyopewa tu na Yesu. AT "ametufanya tuishi tena." # kwa ujasiri wa urithi "tunajua kwamba atatufanyia yale aliyoahidi" (UDB) # zimehifadhiwa "kuokolewa kwa ajili yetu" au "kuhifadhiwa kwa ajili kwetu" (UDB) # haitakuwa na madhara "hawezi kuumiza na dhambi au 'dhambi haiwezi kuumiza" # katika nyakati za mwisho "wakati Kristo anarudi duniani"