sw_tn/1ki/22/16.md

16 lines
379 B
Markdown

# Je, nikutake mara ngapi ili nikuapia ukweli ... kwa jina la BWANA?
"Nimekutaka mara nyingi sana ...katika jina la BWANA."
# katika jina la BWANA
"kama mwakilishi wa BWANA"
# Ninaiona Israeli
"Ninaliona jeshi lote la Israeli"
# kama kondoo wasiokuwa na mchungaji
Wanajeshi wamefananishwa na kondoo wasiokuwa na mtu wa kuwaongoza kwa zababu mchungaji wao, mfalme, ameuawa