# Je, nikutake mara ngapi ili nikuapia ukweli ... kwa jina la BWANA? "Nimekutaka mara nyingi sana ...katika jina la BWANA." # katika jina la BWANA "kama mwakilishi wa BWANA" # Ninaiona Israeli "Ninaliona jeshi lote la Israeli" # kama kondoo wasiokuwa na mchungaji Wanajeshi wamefananishwa na kondoo wasiokuwa na mtu wa kuwaongoza kwa zababu mchungaji wao, mfalme, ameuawa