sw_tn/1ki/22/13.md

20 lines
512 B
Markdown

# Tazama sasa
"Sikiliza" au "Uwe msikivu kwa jambo ninalotaka kukuambia"
# maneno ya manabii kwa kinywa kimoa wanatabiri mambo mema kwa mfalme
Kirai cha "kwa kinywa kimoja" kinamaanisha kwamba wote wanasema jambo lilelile jema kwa mfalme"
# Tafadhli maneno yako yawe kama yao
"yao" inamaanisha "maneno ya manabii." kile unachosema kifanane na kile walichosema"
# je, twende
Neno "twe" linamaanisha Ahabu, Yehoshafati, na majaeshi yao lakini si Mikaya.
# BWANA ataitoa kwenye mkono wa mfalme
Tazama 22:5