# Tazama sasa "Sikiliza" au "Uwe msikivu kwa jambo ninalotaka kukuambia" # maneno ya manabii kwa kinywa kimoa wanatabiri mambo mema kwa mfalme Kirai cha "kwa kinywa kimoja" kinamaanisha kwamba wote wanasema jambo lilelile jema kwa mfalme" # Tafadhli maneno yako yawe kama yao "yao" inamaanisha "maneno ya manabii." kile unachosema kifanane na kile walichosema" # je, twende Neno "twe" linamaanisha Ahabu, Yehoshafati, na majaeshi yao lakini si Mikaya. # BWANA ataitoa kwenye mkono wa mfalme Tazama 22:5