sw_tn/1ki/21/08.md

16 lines
308 B
Markdown

# kwa jina la Ahabu
"na akaweka saini kwa jina la Ahabu"
# watu tajiri alioketi nao
"watu tajiri walioketi na Nabothi"
# juu mbele ya watu
"katika eneo la heshima miongoni mwa watu"
# watoe ushahidi kinyume naye
"waambie hawa watu wamshitaki Nabothi kwa mashitaka ya kwamba amemlaani Mungu na mfalme"