# kwa jina la Ahabu "na akaweka saini kwa jina la Ahabu" # watu tajiri alioketi nao "watu tajiri walioketi na Nabothi" # juu mbele ya watu "katika eneo la heshima miongoni mwa watu" # watoe ushahidi kinyume naye "waambie hawa watu wamshitaki Nabothi kwa mashitaka ya kwamba amemlaani Mungu na mfalme"