sw_tn/1ki/20/09.md

12 lines
315 B
Markdown

# matakwa yako haya ya pili
"vitu vile ulivyoomba mara ya pili"
# basi miungu inifanye hivyo na zaidi
Tazama 19:1
# kama mavumbi ya Samaria yatawatosheleza watu wote wanaonifuata kuchukuc angalau kila mmoja angalau konzi mkononi mwake
Bebi Hadadi anasema kuwa jeshi lake litaangamiza kabisa kila kitu Samaria.