# matakwa yako haya ya pili "vitu vile ulivyoomba mara ya pili" # basi miungu inifanye hivyo na zaidi Tazama 19:1 # kama mavumbi ya Samaria yatawatosheleza watu wote wanaonifuata kuchukuc angalau kila mmoja angalau konzi mkononi mwake Bebi Hadadi anasema kuwa jeshi lake litaangamiza kabisa kila kitu Samaria.