sw_tn/1ki/19/09.md

16 lines
387 B
Markdown

# kwenye pango akakaa humo
Neno "humo" linamaanisha Mlima Horebu. Pango ni sehemu iliyowazi maaeneo ya milima ambayo hufanya kitu kama chumba cha asili au chumba kilicho chini aridhini.
# Neno la BWANA lilimjia likimwambia
Tazama 6:11
# Unafanya nini hapa Eliya
"Hapa si mahali unapotakiwa kuwa, Eliya"
# Mimi, pekee yangu, nimebaki
Neno "mimi" limerudiwa kwa aji;i ya msisitizo.