# kwenye pango akakaa humo Neno "humo" linamaanisha Mlima Horebu. Pango ni sehemu iliyowazi maaeneo ya milima ambayo hufanya kitu kama chumba cha asili au chumba kilicho chini aridhini. # Neno la BWANA lilimjia likimwambia Tazama 6:11 # Unafanya nini hapa Eliya "Hapa si mahali unapotakiwa kuwa, Eliya" # Mimi, pekee yangu, nimebaki Neno "mimi" limerudiwa kwa aji;i ya msisitizo.