sw_tn/1ki/09/06.md

16 lines
339 B
Markdown

# amri zangu na maagizo yangu
"maagizo" na "amri" yanamaanishakitu kilekile yametumika kusisitiza kuwa BWANA aliamuru.
# kuabudu miungu mingine na kusujudu
Virai hivi vinamaanisha kitu kilekile, na vimeunganiswa kwa ajili ya msisitizo.
# niliyoitakasa kwa jina langu
"niliyoitenga kwa ajili yangu"
# Nitaitupilia mbali
"Nitaikataa"