# amri zangu na maagizo yangu "maagizo" na "amri" yanamaanishakitu kilekile yametumika kusisitiza kuwa BWANA aliamuru. # kuabudu miungu mingine na kusujudu Virai hivi vinamaanisha kitu kilekile, na vimeunganiswa kwa ajili ya msisitizo. # niliyoitakasa kwa jina langu "niliyoitenga kwa ajili yangu" # Nitaitupilia mbali "Nitaikataa"