sw_tn/1ki/07/27.md

16 lines
473 B
Markdown

# urefu wa mita 1.8
Huo ni urefu wa kalio moja
# Hivi ndivyo kazi za makalio zilivyofanywa
Hii inamaanisha kuwa mwandishi atayafafanua makalio katika maneno yafuatayo.
# na juu ya papi na vipandio kulikuwa na simba, makisai, na makerubi
Kulikuwa na vipande vya nakshi katikasura za simba, makisai, na makerubi yaliyokuwa yameunganishwa katika pande za makalio.
# masongo ya kazi y a kufuliwa
Neno "masongo" linamaanishsa vipande vya shaba vyenye sura ya kusokotwa.