# urefu wa mita 1.8 Huo ni urefu wa kalio moja # Hivi ndivyo kazi za makalio zilivyofanywa Hii inamaanisha kuwa mwandishi atayafafanua makalio katika maneno yafuatayo. # na juu ya papi na vipandio kulikuwa na simba, makisai, na makerubi Kulikuwa na vipande vya nakshi katikasura za simba, makisai, na makerubi yaliyokuwa yameunganishwa katika pande za makalio. # masongo ya kazi y a kufuliwa Neno "masongo" linamaanishsa vipande vya shaba vyenye sura ya kusokotwa.